Friday 12 June 2015

Musoma Yetu: Mradi wakuweka barabara ya lami kata tatu jimbo la...

Musoma Yetu: Mradi wakuweka barabara ya lami kata tatu jimbo la...: Mradi wa kuweka barabara ya lami kutokea busstop hadi majita road umeshapewa mkanadarasi natayari kuanza ujenzi huo kampuni waliopewa hiyo t...

Mradi wakuweka barabara ya lami kata tatu jimbo la musoma mjini tayari kuanza..

Mradi wa kuweka barabara ya lami kutokea busstop hadi majita road umeshapewa mkanadarasi natayari kuanza ujenzi huo kampuni waliopewa hiyo tender ni nyanza ya jijini mwanza.kata hizo ni Nyasho,Kamnyonge na Nyamatare.
 Makandarasi kutoka kampuni ya Nyanza la jijini Mwanza akiweka sahihi katika mkataba mbele ya wanainchi wa kata tatu Nyamatare,kamnyonge pamoja na Nyasho.
 Mkurugenzi akitia sahihi kuwawilisha manispaa ya Musoma mjini.
 Meya Alex akisema eneno kwa wanainchi waliofika.
 Burudani ikiendelea
 Meya akipokea nakala ya mkataba kutoka kwa wanadarasi
Madwani waliofika siku ya tukio.

Monday 20 April 2015

Chadema watikisa Musoma Mjini..

Chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA)watikisa Musoma mjini siku ya jana tarhe 19/04/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo ukiongozwa na Naibu katibu Mhe John Mnyika na viongozi mbali mbali wakanda ya Serengeti akiwemo mjumbe wa kamati ya Chadema taifa Alex Kisurura Malima ambye pia nia Meya wa Musoma Mjini.tazama picha mbali mbali ya jana...
 Naibu katibu mkuu Chadema John Mnyika akiwahutubia wana wa Musoma MJINI






 wanainchi wakimpa mkono wa pongezi katibu mkuu




 wanainchi wakitoa mchango wa mafuta hiyo jana



 Msafara wakusindikiza Mnyika ofisi za Chadema Musoma mjini.
  Msafara wakusindikiza Mnyika ofisi za Chadema Musoma mjini


 akiwashukuru wanainchi waliojitokeza kumsindikiza.
 akiwashukuru wanainchi waliojitokeza kumsindikiza
  akiwashukuru wanainchi waliojitokeza kumsindikiza

Wednesday 11 June 2014

Musoma Yetu: Kwa elimu ya kisasa na bora kumbuka kumpeleka mtot...

Musoma Yetu: Kwa elimu ya kisasa na bora kumbuka kumpeleka mtot...:  Basi mpya ya kisasa ya Momokoro Academy...  wanafunzi wa darasa la saba  wanafunzi wakiwa na manager wa shule.  Mana...

Kwa elimu ya kisasa na bora kumbuka kumpeleka mtoto wako katika shule ya MOMOKORO ACADEMY iliopo mpakani mwa Tanzania na Kenya Isbania pia wanatoa Huduma kwa watoto wanaosoma dai au kutwa jirani na border pia wanachukuwa watoto kutoka wilaya ya Tarime kuwa mawasiliano zaidi piga simu number#+254722263884/+255764866448 nyote munakaribishwa...

 Basi mpya ya kisasa ya Momokoro Academy...
 wanafunzi wa darasa la saba



 wanafunzi wakiwa na manager wa shule.

 Manager wa Momokoru Academy

 walimu wa Momokoru Academy



 walimu na viongozi mbali mbali katika picha ya pamoja..





 wanafunzi wakifurahia kumaliza masomo na kuwa tayari kurudi nyumbani.



 majengo mpya ya maktabaa napia madarasa mpyaa
 Tank la maji iliopo shuleni..
 basi ikiwa tayari kuondoka na wanafunzi ambao wanaishi Tarime pamoja na Sirari nchini Tanzania.

 Bweni nzuri na ya kisasa.

 Madarasa mbali mbali