Tuesday 18 March 2014

Musoma - Yetu blog ipo hewani karibuni sana , Karibuni wote

Kwa niaba ya WanaMusoma , napenda kuwatambilisha ukurasa mpya wa Musoma - yetu  ulioanza rasmi mwezi Machi 2014,ukiwa na nia na madhumuni ya kuwajulisha watanzania yale yote yanayojili katika Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara na kila kinachowahusu na kuwagusa. 

Kwa habari zaidi fungua 
www.musoma-yetu.blogspot.com

Friday 7 March 2014

Baraza la Madiwani Manispaa ya Musoma llapunguza gharama za kukodi Vibanda vya Biashara stendi ya Bweri

Meya (kushoto) akiwa na Naibu Meya

Ujenzi wa hospitali ya Kwangwa ukiendelea


Mhe. Vincent J Nyerere Mbunge wa Musoma Mjini akikagua miradi

Mhe (Mb)Vincent J Nyerere akiwa na kamati ya fedha na uongozi katika shule ya primary Kiara kata ya Kigera  Tarehe 15/11/2013  kukaguwa ujenzi wa choo Mhe na uongozi mzima pia walifika katika shule ya sekondari Nyamitwebiri kujione ukarabati wa madarasa sita,ujenzi wa tenki chini ya athi,ujenzi wa tenki ya juu pamoja na ujenzi wa maabara mpya na ya kisasa hizi ni ahadi alizotoa Mhe Mbunge pamoja na team nzima ya madiwani kwenye uchaguzi 2010. 

Ujenzi wa Madarasa mapya katika shule ya Sekondari ya Kamnyonge