Friday 7 March 2014

Baraza la Madiwani Manispaa ya Musoma llapunguza gharama za kukodi Vibanda vya Biashara stendi ya Bweri

Meya (kushoto) akiwa na Naibu Meya

Wataalamu wa Manispaa wakifuatilia Baraza

Madiwani wa Manispaa



 Wadau wakiwa Barazani

Meya akisisitiza jambo

Afisa Biashara akitoa taarifa ya maamuzi ya kushusha bei

Ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

Baraza la madiwani wa Halimashauri ya Manispaa ya Musoma limepitisha maamuzi ya kushusha bei ya kukodi vibanda vya biashara katika stendi mpya ya mabasi eneo la Bweri ili kuwapa nafasi wananchi wengi kuchukua vibanda hivyo na kufanya biashara ya kuwaongezea kipato.

Madiwani hao chini mstahiki Meya wa Manispaa Alex Kisurura walipunguza gharama ya vibanda vikubwa kutoka 41,040 hadi 25,000 na vidogo 30,400 hadi 20,000 ili wananchi wengi waweze kupanga kwenye vibanda hivyo

Kwa hisani ya musomayetu.

No comments:

Post a Comment