Friday 12 June 2015

Mradi wakuweka barabara ya lami kata tatu jimbo la musoma mjini tayari kuanza..

Mradi wa kuweka barabara ya lami kutokea busstop hadi majita road umeshapewa mkanadarasi natayari kuanza ujenzi huo kampuni waliopewa hiyo tender ni nyanza ya jijini mwanza.kata hizo ni Nyasho,Kamnyonge na Nyamatare.
 Makandarasi kutoka kampuni ya Nyanza la jijini Mwanza akiweka sahihi katika mkataba mbele ya wanainchi wa kata tatu Nyamatare,kamnyonge pamoja na Nyasho.
 Mkurugenzi akitia sahihi kuwawilisha manispaa ya Musoma mjini.
 Meya Alex akisema eneno kwa wanainchi waliofika.
 Burudani ikiendelea
 Meya akipokea nakala ya mkataba kutoka kwa wanadarasi
Madwani waliofika siku ya tukio.

No comments:

Post a Comment