Friday 7 March 2014

Mhe. Vincent J Nyerere Mbunge wa Musoma Mjini akikagua miradi

Mhe (Mb)Vincent J Nyerere akiwa na kamati ya fedha na uongozi katika shule ya primary Kiara kata ya Kigera  Tarehe 15/11/2013  kukaguwa ujenzi wa choo Mhe na uongozi mzima pia walifika katika shule ya sekondari Nyamitwebiri kujione ukarabati wa madarasa sita,ujenzi wa tenki chini ya athi,ujenzi wa tenki ya juu pamoja na ujenzi wa maabara mpya na ya kisasa hizi ni ahadi alizotoa Mhe Mbunge pamoja na team nzima ya madiwani kwenye uchaguzi 2010. 




No comments:

Post a Comment